Uploaded by NTVKenya on Jan 17, 2012
http://www.ntv.co.ke
Mapigano huko Somalia yamesababisha watu wengi kuwa wakimbizi na wengi wao hawatamani kurudi makwao huku wakitafuta mbinu mbalimbali za kujikimu kimaisha.Mmoja wao ni Shine Abdullahi,kijana aliyetoroka kwao Somalia akiwa na umri wa miaka 14 na ambaye sasa anaishi hapa Nairaobi kama msanii.Aliunda kundi la muziki ambalo limefanikiwa kutoa nyimbo nyingi za kuwahamasisha watu kuhusu umuhimu wa amani na mara kwa mara amekuwa akienda Somalia kuwasilisha ujumbe huo wa amani kupitia tamasha za muziki dhidi ya kundi la al Shabaab.Na huyo ndiye mgeni wetu katika makala ya leo ya msanii na sanaa

No comments:
Post a Comment